CATHY | SIMULIZI FUPI
HTML-код
- Опубликовано: 27 мар 2025
- Maisha niliyopitia shuleni hayakuwa ya furaha sana kwangu, lakini ndo leo yameamua hatima ya maisa yangu.
Jina langu ninaitwa Catherine Kindamba,
Ilikua ni siku ya jumanne nilipowasili shuleni Hans pope Academy mkoani Mwanza kutoka Dar es salaam.
Ungana nami msiliaji wako LUCAS LUMBASI mwanzo mpaka mwisho
Nice one🎉🎉❤❤
Jamani mashabiki WA Lucas Leo Mimi wakwanza nione like zenu ataa mbili Tu,
Wawooo❤❤❤ like
Wa kwanza leooo nipeni maua yangu
Wow simulizi tamu🎉🎉🎉🎉❤❤
Wa 14 kumekucha yan kama Lucaas jomon aya bwan maua yako🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉 like zenu jaman asant San kak lucas 🌹🌹🌹 yako upewe mung akupe maish maref
Wakwanza ja
Jamani like zenu kaka luka mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂
Nimeigia kikuclhelewa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Woooow ni 🔥 🔥🔥🔥 chezea weka kuweka......Yani na kibaridi hiki ndio usiseme
Kila kitu kipo isipokuwa wewe my love ninateswa na hii mvua na baridi njoo niokoe kipenzi 😋🥰
Binti Cathy ❤❤❤🔥🔥🔥
❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Mmmmh mashulen kuna mambo mengi 😂
Huyoo mwalimu afilie jela tuu yani hana huruma na wanafunxii loo
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
Asante studio 🎙️🎤🎶🎙️
Bado namsubili mwandishi wa Zena hapa
💚💛💚💛🫶🤝god job 💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚🫶 Mungu akujarie afya njema zaidi 🌹🙏💛💚🫶🤝
Katamu sana japo kafupi ❤❤❤
Nice simulizi kabisa
Jamani jamani watu wana sura zuri Lakin shatani hiko ndani yau poleni Sana dada Cathy kilicho na mwanzo kina misho. Asente Lucas lumbas mungu akubarike Sana kwa
Daaa Mungu atusaidie kuepuka na mambo ya dunia
Mh,pole sana Cathy kwa magumu ya ujana unayoyapitia kiasi kwamba umenikumbusha mbali sana 😭😭 ila Mungu ni mwema na wahaki siku zote
Pole sana mungu atakusaidia
Asante boo lumbasi
Hii week nitachelewa sana😢
Bora tufike sio lazima kuwahi
Ebu Lucas uturetehe y binti zuchu
Maua yako anko lukas 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
💯💯💯🔥🔥🔥
😊Kweli kabisa baada ya dhiki faraj.. Lucas wetu huna shoo mbov napnd San simulizi zko
🎉🎉🎉 like zangu wapendwa nimewai❤
🎉🎉😂❤❤
Cathy alifanya kosa angemuambia Martin ukweli
So kwa kutuchanganyia huko mafaili
🤣🤣inabidi tuyapange vizuri hayo mafairi🥰🥰🥰
😢
Waalimu wengine ni ni kama fisi aliyekabidhiwa bucha,wanachefua sana😓😓
Wakati mwingine huwa tunapitishiwa kwenye moto ili kuwa imara na thabiti kwenye kukubaliana na matatizo au changamoto za kimaisha ili kuyafikia mafanikio yako ila ukiwa na imani na kujuwa kuwa unae mtegemea ana nguvu zaidi kuliko kila kitu kilicho na mamlaka ama visivyo
0
Maisha hay jaman
😢😢😢
18
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤